1
|
Kituo cha haki za Binadamu (LHRC)
|
Dar es Salaam na Arusha
|
Malengo ya Taasisi ni kujenga uelewa wa haki za binadamu na uwezeshwaji katika uma kwa ujumla na mamlaka / mbalimbali na kwa namna ya kipekee maeneo yaliyotengwa kijamii kwa njia kutoa Elimu ya Mpiga Kura na uraia, msaada wa kisheria kufanya tafiti na ufuatiliaji wa ukiukwaji wa haki za binadamu.
|
Mikoa yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
|
2
|
Bantu Union
|
Arusha Mjini.
|
Kuelimisha utamaduni wa dini za asili za Afrika, mila, jadi , na desturi kibiblia.
|
Majimbo yote ya Uchaguzi
|
3
|
Multiple Development Foundation
|
Dar es Salaam
|
Kuwezesha jamii kudai kupata haki zao za kidemokrasia, kupiga vita umaskini na rushwa.
|
Temeke (Temeke na Kigamboni)
|
4
|
SINANGOA Disabled
|
Dar es Salaam
|
Hujishughulisha na watu wenye ulemavu wa aina zote, kilimo cha mboga mboga, utengenezaji wa saa za viongozi za ukutani na ufumaji wa mashuka kwa mkono.
|
Pwani, Tanga na Morogoro
|
5
|
Orphans Welfare & Capacity Building organization
(OWCBO)
|
Dar es Salaam
|
Kuimarisha hali ya maisha ya watoto yatima, walezi wao na jamii kwa ujumla kwa kutumia sheria na taratibu chini ya sheria za nchi.
|
Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni
|
6
|
Mtandao wa Maendeleo ya Jamii
|
Dar es Salaam
|
Kuimarisha utetezi wa jamii, kupiga vita umasikini na kutoa elimu ya demokrasia.
|
Mkoa wa Pwani, Wilaya za Mkuranga na Mafia.
|
7
|
Tanzania Volunteers for Development Trust (TAVODET)
|
Dar es Salaam
|
Kupigania maendeleo ya jamii na usawa, vilevile kupambana na umasikini na haki za binadamu.
|
Arusha
|
8
|
Royal College of Tanzania (RCT)
|
Dar es Salaam
|
Mafunzo katika fani ya uandishi wa habari na utangazaji na vile vile fani nyingine za kitaaluma.
|
Mbeya
|
9
|
Dhahabu Arts Group (DAG)
|
Dar es Salaam
|
Kuleta maendeleo ya jamii hasa katika demokrasia na utawala bora kwa kutumia wanachama wake wenye ujuzi na wataalamu mbalimbali.
|
Manyara
|
10
|
Young People Empowerment in Tanzania
|
Dar es Salaam
|
Kuwaongezea vijana uwezo na maarifa ya uongozi walio ndani na nje ya shule.
|
Dar es Salaam Wilaya ya Kinondoni
|
11
|
Jumuiya ya Orphans Education Centre
( ORECE)
|
Mkoa wa Iringa, Wilaya ya Njombe
|
Elimu ya utawala bora, uleaji wa watoto yatima, utetezi wa haki za binadamu.
|
Jimbo la Njombe Kaskazini
|
12
|
Women- Widow, Children and Fisheries Develompment Association
(WICHIDA)
|
Dar es Salaam
|
Wajane na yatima ambao hawana ajira. Pia wanatoa elimu na mafunzo ya utawala bora na haki za wanawake na watoto
|
Wilaya ya Bagamoyo
|
13
|
TUSHIRIKI
|
Mbeya
|
Masuala ya utawala bora na demokrasia, ufuatiliaji wa pesa za uma (PETs), haki za binadamu, kupambana na umasikini, ujinga na maradhi sugu.
|
Mbeya, Wilaya ya Mbeya Mjini na Rungwe
|
14
|
Lagarawa Development Foundation
|
Iringa, Wilaya ya Njombe
|
Elimu na afya, kusaidia yatima na wajane, kuelimisha jamii juu ya utunzaji wa mazingara na ufugaji wa nyuki.
|
Iringa ( Wilaya ya Ludewa)
|
15
|
Foster Rural Association
|
Iringa, Wilaya ya Njombe
|
Elimu kwa wanawake juu ya Upigaji Kura, kuelimisha jamii kupambana na ugonjwa hatari wa UKIMWI.
|
Iringa ( Wilaya ya Njombe, Jimbo la Njombe Kusini)
|
16
|
Tegeta Environment Development Organization
|
Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni
|
Masuala ya mazingira na uelimishaji katika nyanja za upandaji miti na usafishaji
|
Morogoro
|
17
|
TAIBAH
|
Dar es Salaam
|
Mafunzo ya UKIMWI na huduma ya afya ya uzazi kwa vijana pamoja na kuchimba visima katika maeneo mbalimbali katika nchi yetu na kusafirisha mahujaji.
|
Kigoma, Mwanza, Dodoma, Singida, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Manyara na Kagera.
|
18
|
Dar es Salaam City Press Club
|
Dar es Salaam
|
Kuboresha viwango vya uandishi wa habari na ubora wa taarifa zao kwenda kwa jamii.
|
Dar es Salaam
|
19
|
Human Rights National Association of Educators for World Peace
|
Mbeya
|
Masuala ya haki za binadamu, kutoa ushauri pale inapoonekana haki zimekiukwa, kuelezea jamii umuhimu wa kuzilinda na kuziheshimu sheria zote za nchi kuhusu haki za binadamu na kupambana na vitendo viovu vya rushwa.
|
Mbeya, Rukwa, Morogoro, Arusha, Kigoma na Pwani
|
20
|
Taasisi ya Kuzuia Mmomonyoko wa Maadili Tanzania
|
Pwani, Wilaya ya Mkuranga
|
Kutetea na kuelimisha watanzania juu ya athari za mmomonyoko wa maadili katika jamii.
|
Pwani, Dar es Salaam, Mara, Lindi, Mwanza, Arusha, Tabora, Kilimanjaro, Dodoma, Tanga na Kagera.
|
21
|
Community Based Rehabilitation Agency
( COMBRA)
|
Pugu, Dar es Salaam
|
Utekelezaji wa miradi na huduma za utetezi, uwasilishaji na utekelezaji wa sera mbalimbali ndani ya nchi.
|
Kata ya Pugu, Dar es Salaam
|
22
|
Pugu Poverty Alleviation and Development Agency
|
Pugu, Dar es Salaam
|
Kuhudumia watoto wanaoishi katika mazingira magumu, yatima na wajane, biashara ndogo ndogo kwa wajane na vijana, kutoa elimu ya uraia na haki za binadamu, utunzaji wa mazingira n.k.
|
Dar es Salaam, (Wilaya ya Ilala Kata za Msongola, Chanika na Majohe).
|
23
|
Pamoja Daima
|
Pwani, Kisarawe
|
Kutoa huduma ya elimu katika kilimo, mazingira, utamaduni, sanaa, utawala bora, uraia na haki za binadamu.
|
Pwani (Kata za Kisarawe, Msimbu na Masaki).
|
24
|
Tanzania Episcopal Conference
( Catholic Secretariat)
|
Dar es Salaam
|
Kuelimisha Wapiga Kura kushiriki katika mchakato wa uchaguzi na kuzingatia sheria na kanuni za Uchaguzi, kutoa fursa ya kongamano za kidini kwa viongozi wa kikristu na kiisilamu Tanzania Bara na Visiwani.
|
Tanzania Bara (Temeke, Kinondoni, Ilala, Kigoma Mjini, Karatu, Tanga Mjini, Moshi Mjini, Arusha Mjini na Dodoma Mjini)
|
25
|
RUSHDIDDN ISLAMIC CENTRE
|
Dar es Salaam, Manzese
|
Maendeleo kwa jamii hasa kwa vijana wa Kiisilamu, sanaa, michezo, utamaduni na burudani zinazokubalika na dini ya kiisilamu.
|
Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni.
|
26
|
Former District Commissioner’s Forum
|
Dar es Salaam, Kinondoni
|
Kuelimisha na kuhamasisha jamii kutambua haki zao za kiraia na maendeleo ya jamii.
|
Dar es Salaam, Arusha, Singida, Kilimanjaro,Morogoro, Pwani, Shinyanga, Mwanza, Kagera, Mara, Rukwa, Tabora, Tanga, Lindi, Manyara na Dodoma.
|
27
|
Christian Council of Tanzania (CCT)
|
Dodoma
|
Mahusiano na imani mbalimbali maendeleo ya wanawake jinsia na watoto.
|
Kigoma, Mara, Dar es Salaam, Tanga, Kilimanjaro, Kagera, Morogoro, Mbeya, Pwani na Zanzibar.
|
28
|
Ukombozi Community Group Mahembe
|
Kigoma
|
Utawala bora na uwajibikaji wa jamii, mapambano dhidi ya rushwa ikiwa ni pamoja na elimu kwa jamii juu ya madhara ya rushwa.
|
Kigoma (Wilaya ya Kigoma) na Tabora (Wilaya ya Igunga).
|
29
|
TUNZA Mazingira Malya Group
|
Mwanza, Kwimba
|
Kuhamasisha jamii kuungana pamoja na kikundi kushiriki katika utunzaji wa mazingira katika Wilaya ya Kwimba.
|
Mwanza, Wilaya ya Kwimba
|
30
|
Kigoma Vijana Development Association
|
Kigoma
|
Kutoa elimu juu ya haki za vijana kupitia sera ya taifa ya vijana, kutoa elimu ya awali kwa watoto yatima.
|
Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini.
|
31
|
Songambele Development Society
|
Kigoma
|
Shughuli mbalimbali za kijamii na kupambana na umaskini mkoani Kigoma.
|
Kigoma, Tabora, Mwanza, Kagera na Dodoma
|
32
|
Arusha Non-Governmental Organization Network
|
Arusha
|
Kuzijengea uwezo AZAKI/AZISE ili zishirki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa.
|
Arusha
|
33
|
Tanzania Election Monitoring Committee (TEMCO)
|
Dar es Salaam
|
Kutazama hatua zote za Uchaguzi pamoja na mpangilio wa Majimbo, uandikishwaji wa Wapiga Kura, uteuzi wa Wagombea, Kampeni, Kupiga Kura, kuhesabu na kujumlisha Kura pamoja na matokeo ya mwisho ya Uchaguzi.
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
|
34
|
MSETI DEVELOPMENT FOUNDATION
|
Iringa, Wilaya ya Njombe
|
Kuwajengea uwezo wa ufahamu jamii ya Njombe juu ya Utawala bora.
|
Njombe Jimbo la Njombe Kaskazini
|
35
|
TAASISI YA LUFINGO WAVIU
|
Mbeya, Rungwe
|
Kutoa elimu kwa jamii juu ya VVU/ UKIMWI ili namba ya watu wanaoishi na VVU isiongezeke bali izidi kupungua.
|
Rungwe
|
36
|
Retired Military Experts Association
|
Dar es Salaam, Kinondoni
|
Kuratibu na kuwasemea wanajeshi wastaafu wote, kuwapatia ajira wastaafu ndani na nje ya nchi, kuanzisha makampuni ya ulinzi kwa ajili ya wanachama na jamii kwa ujumla.
|
Arusha, Iringa, Mwanza, Mara, Mbeya, Manyara, Mtwara, Lindi, Ruvuma, Shinyanga, Kigoma, Morogoro,Dodoma, Kilimanjaro, Singida, Rukwa, Tabora Kagera na Tanga
|
37
|
TWITANGAGE COMMUNITY DEVELOPMENT FOUNDATION
|
Iringa, Njombe
|
Kuihamasisha Serikali kuongeza jitihada katika kupambana na janga la ukimwi na kuwezesha upatikanaji wa huduma za jamii kama Elimu, Afya, Maji na Michezo.
|
Iringa, Njombe
|
38
|
YOUTH ENVIRONMENTAL RESCUE ORGANISATION TANZANIA
|
Dar es Salaam
|
Elimu ya Utawala Bora na kampeni dhidi ya magonjwa ya Ukimwi na Malaria.
|
Mkuranga katika Mkoa wa Pwani
|
49
|
YOUTH AGAINST AIDS AND POVERTY ASSOCIATION
|
Kigoma
|
Kupambana na maambukizi ya VVU kwa vijana na malezi kwa watoto yatima.
|
Kata ya Sigunga katika Wilaya ya Kigoma Mjini
|
40
|
Peoples’ Organisation Transparency Agency
|
Dar es Salaam na Kagera
|
Kuzuia rushwa na kutetea haki za binadamu.
|
Kagera na Dar es Salaam
|
41
|
MOROGORO PRESS CLUB
|
Morogoro
|
Kuwaunganisha wanahabari wote wa Mkoa wa Morogoro na pia kuwa kisemeo cha wasio na sauti hasa wananchi wa vijijini.
|
Mkoa wa Morogoro
|
42
|
MTANDAO WA HAKI ZA MTOTO.
|
Morogoro, Wilaya ya Kilombero
|
Kufanya utafii, kutoa ushauri, uhamasishaji, mafunzo kuhusu haki za binadamu, utawala bora, kuwajibika, haki za raia na kuelimisha jamii juu ya athari za rushwa kwa jamii.
|
Kilombero
|
43
|
HEDO
|
Tanga na Arusha
|
Kutoa elimu kuhusu UKIMWI, haki za watoto, kutoa misaada kwa watoto waishio katika mazingira magumu, yatima, wajane, wazee na waishio na virus vya UKIMWI.
|
Arusha na Tanga
|
44
|
Free Ambassador Women and Children Mission
|
Kilimanjaro, Moshi
|
Kutoa ushauri, elimu ya kujitegemea na elimu ya afya ya jamii hasa wamama, watoto na wasiojiweza.
|
Arusha, Tanga, Pwani, Dar es Salaam, Morogoro, Kilimanjaro na Manyara
|
45
|
KAENGESA Environmental Conservation Society
|
Rukwa, Wilaya ya Sumbawanga
|
Uhifadhi wa mazingira na utetezi kwa wanawake kupata haki ya kumiliki ardhi
|
Wilaya ya Sumbawanga
|
46
|
TAIBAH-HAJI, UMRA AND SOCIAL SERVICES TRUST
|
Dar es Salaam
|
Kutoa huduma bora hususan za maendeleo ya jamii ya watanzania, kama afya na mazingira.
|
Mwanza, Kigoma, Dodoma, Singida, Lindi, Mtwara, Manyara na Kagera.
|
47
|
Nanyumbu Development Foundation
|
Nanyumbu
|
Kutoa elimu juu ya utetezi na ushawishi wa sera na sheria
|
Wilaya ya Nanyumbu
|
48
|
Saidia Yatima Group
|
Mji wa Njombe
|
Utetezi wa haki za watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi
|
Wilaya ya Njombe
|
49
|
Mavanga Kapilikoho Development Association
|
Wilaya ya Ludewa
|
Kuihamasisha Serikali kuongeza jitihada katika kupambana na janga la UKIMWI na kuwezesha upatikanaji wa huduma za jamii kama elimu, afya na michezo.
|
Wilaya ya Ludewa
|
50
|
Ludende Development Association
|
Wilaya ya Ludewa
|
Kuelimisha jamii juu ya haki ya mwanamke kumiliki mali na ardhi
|
Wilaya ya Ludewa
|
51
|
ADAG ART PROMOTION
|
Wilaya ya Ilala
|
Kudumisha, kuendeleza sanaa na utamaduni wa mtanzania
|
Wilaya ya Mkuranga.
|
52
|
Makete Youth Development Network
|
Wilaya ya Makete
|
Kutoa elimu ya uraia kwa wanajamii wa Wilaya ya makete
|
Wilaya ya Maketi
|
53
|
Ihagala Development Organization
|
Wilaya ya Njombe
|
Kuihamasisha serikali kuongeza jitihada katika kupambana na janga la UKIMWI na kuwezesha upatikanaji wa huduma za jamaii kama elimu, afya na michezo
|
Wilaya ya Njombe
|
54
|
International Christian Ministries
|
Dar es Salaam
|
Elimu ya watu wazima, kujenga shule za msingi na kuzikarabati na kutoa misaada ya kuchimba visima vya maji
|
Wilaya ya Tarime
|
55
|
Shirika la Wanawake
|
Wilaya ya Njombe
|
Kutoa elimu ya ushonaji vikapu na mapambo mbalimbali
|
Wilaya ya Njombe
|
56
|
Dalal Islamic Center
|
Wilaya ya Dodoma
|
Kusaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu kupata elimu na mahitaji muhimu.
|
Wilaya ya Kondoa
|
57
|
Chama cha Kupambana na UKIMWI
|
Wilaya ya Njombe
|
Kuwajengea wanajamii wa Njombe uwezo wa ufahamu juu ya elimu ya utawala bora na uraia
|
Wilaya ya Njombe, Jimbo la Njombe Magharibi
|
58
|
Education Development Foundation
|
Mwanza
|
Inawajengea wananchi uwezo katika sekta ya elimu ya haki za binadamu, malezi ya awali ya watoto wadogo, utawala na uwajibikaji
|
Mwanza, Shinyanga, Mara na Kagera.
|
59
|
Chama cha Wanasheria Cha Tanganyika ( TLS)
|
Dar es Salaam
|
Shughuli za chama zinahusha kushiriki programu za mabadiliko yanayoasisiwa na serikali kama vile programu ya marekebisho ya mfumo wa sheria ( Legal Sector Reform Program) na programu ya kuimarisha mazingira ya biashara Tanzania ( Business Environment Strengthern for Tanzania )
|
Dar es Salaam, Tabora, Mbeya, Dodoma, Kilimanjaro, Mtwara na Mara.
|
60
|
Guluka Kwalala Youth
|
Dar es Salaam, Ilala
|
Mafunzo ya kuimarisha uwajibikaji na utawala bora katika ngazi zote na uwazi zaidi katika mfumo wa utoaji huduma za kijamii na kiuchumi.
|
Pwani, Kisarawe na Mkuranga
|
61
|
Tanzania Women for Self Initiative
|
Dar es Salaam
|
Kufanya miradi mbalimbali ya kuleta maendeleo ya jamii hasa katika demokrasia na utawala bora.
|
Tabora
|
62
|
Kiota Women’s Health and Development Organization
( KIWOHEDE)
|
Dar es Salaam
|
Kutetea na kulinda haki, afya na maendeleo kwa watoto na wanawake
|
Ilala, Temeke, Kinondoni, Iringa Vijijinim Kilolo, Iringa Mjini, Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Songea, Arusha, Iramba na Kondoa.
|
63
|
The Eden Foundation Tanzania
|
Karagwe
|
Kuendeleza demokrasia na utawala bora, kulinda na kutetea haki za binadamu, utunzaji wa mazingira kijamii, kupiga vita UKIMWI na rushwa
|
Chato, Ngara na Karagwe
|