Ana səhifə

Taarifa ya tume ya taifa ya uchaguzi kuhusu uchaguzi wa rais, wabunge na


Yüklə 4.81 Mb.
səhifə1/33
tarix26.06.2016
ölçüsü4.81 Mb.
  1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   33

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TAARIFA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

KUHUSU UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA

MADIWANI, 2010


TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Posta House,

Mtaa wa Ghana/Ohio,

Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Simu: 255-22-2114963-6

S.L.P. 10923, Nukushi: 255-22-2116740 &

Dar es Salaam, 255-22-2113382

Tanzania.

Baruapepe: uchaguzitanzan@yahoo.com

Tovuti: www.nec.go.tz


YALIYOMO


ORODHA YA MAJEDWALI v

ORODHA YA VIAMBATISHO v

ORODHA YA MICHORO vi

VIFUPISHO vii

SHUKRANI ix

BARUA YA UWASILISHAJI x

DIBAJI xii

MUHTASARI WA TAARIFA xiv

SURA YA KWANZA 1

UTANGULIZI 1

1.1Tanzania 1

1.2Mfumo wa Siasa wa Tanzania 1

1.3Mfumo wa Uchaguzi Katika Tanzania 1

1.4Mzunguko wa Uchaguzi (Election Cycle) 2

1.5Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2

1.5.1Muundo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi 3

1.5.2 Majukumu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi 3

1.6Chaguzi Ndogo Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2005 4

SURA YA PILI 4

MAANDALIZI YA UCHAGUZI 4

2.1Ugawaji wa Majimbo na Kutangaza Maeneo ya Uchaguzi (Kata) 5

2.1.1Msingi wa Kisheria 5

2.1.2 Ugawaji wa Majimbo Kabla ya Mwaka 2010 5

2.1.3 Vigezo vya Kugawa Majimbo 6

2.1.4 Taratibu za Ugawaji wa Majimbo 6

2.1.5 Mgawanyo wa Majimbo ya Uchaguzi 6

2.1.6 Majimbo yaliyobadilishwa Majina 8

2.2Kutangazwa kwa Maeneo ya Uchaguzi (Kata) 8

2.3Marekebisho ya Sheria na Kutungwa kwa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010 8

2.3.1Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Sura ya 292 9

2.3.2 Kanuni za Uchaguzi 10

2.4Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya Mwaka 2010 10

2.5Maadili ya Uchaguzi 11

2.5.1 Kamati za Maadili ya Uchaguzi 11

2.6Bajeti ya Uchaguzi 11

2.6.1Makadirio ya Gharama za Uchaguzi, 2010 11

2.6.2 Mchango wa Serikali 12

2.6.3 Mchango wa Washirika wa Maendeleo 12

2.7Misaada ya Washirika wa Maendeleo Kupitia Programu ya Kukuza Demokrasia Tanzania (DDTP) na Mradi wa Kusaidia Uchaguzi (ESP) 13

2.7.1Programu ya Kukuza Demokrasia Nchini (DDTP) 13

2.7.2Mradi wa Kusaidia Uchaguzi (ESP) 15

2.8Ununuzi na Usambazaji wa Vifaa vya Uchaguzi 17

2.8.1 Ununuzi wa Vifaa 18

2.8.2Ugawaji na Usambazaji wa Vifaa vya Uchaguzi 19

2.9Rasilimali Watu 19

2.9.1 Makamishna na Watumishi wa Tume 19

2.9.2 Watumishi Walioajiriwa kwa Mkataba na Walioazimwa 19

2.9.3Watumishi Walioteuliwa na Tume Mikoani na Majimboni 20

2.9.4Wataalam Washauri 22

2.10Mikutano, Warsha, Semina, Mafunzo na Kamati za Tume 22

2.10.1Mikutano na Wadau wa Uchaguzi 22

2.10.2Warsha kwa Watumishi 22

2.10.3Semina na Mafunzo 22

2.10.4Kamati za Tume 23

2.11Elimu ya Mpiga Kura 23

2.11.1Elimu ya Mpiga Kura Wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Wakati wa Uchaguzi Mkuu 23

2.12Changamoto zilizojitokeza 24



SURA YA TATU 26

UANDIKISHAJI NA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 26

3.1Uanzishwaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 26

3.2Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 26

3.3Makadirio ya Takwimu za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu 26

la Wapiga Kura 26

3.3.1Ratiba ya Utekelezaji 28

3.3.2Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 29

3.4Ufuatiliaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 30

3.5Teknolojia Zilizotumika Kuandaa Daftari 31

3.6Fomu Zilizotumika Katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 31

3.7Mifumo ya Kompyuta Iliyotumika 31

3.7.1 Mtandao wa Mawasiliano 32

3.8Mabadiliko ya Vifaa vya Kupigia Picha 32

3.9Watendaji Katika Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 32

3.10 Kuchapisha na Kuweka Wazi Daftari la Awali 32

3.11Uchapishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Orodha za Wapiga Kura 34

3.12Mafanikio ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 38

3.13 Changamoto Zilizojitokeza 38



SURA YA NNE 39

UTEUZI WA WAGOMBEA NA KAMPENI ZA UCHAGUZI 39

4.1Ratiba ya Uchaguzi Mkuu 39

4.2Uteuzi wa Wagombea 39

4.2.1Aina za Wagombea 39

4.2.2Mfumo wa Kushughulikia Fomu za Uteuzi za Wagombea 39

4.3Taratibu za Uteuzi wa Mgombea Urais/Umakamu wa Rais 39

4.3.1 Mamlaka inayohusika na Kuteua Wagombea 40

4.3.2 Sifa na Masharti ya Kuteuliwa Kuwa Mgombea 40

4.3.3Uchukuaji na Urejeshaji wa Fomu za Uteuzi na Fomu za Maadili 40

4.3.3.1Wagombea Waliochukua Fomu za Uteuzi na Fomu za Maadili ya Uchaguzi 40

4.3.4 Pingamizi Zilizotolewa Dhidi ya Uteuzi wa Wagombea 42

4.3.5 Matatizo Yaliyojitokeza Wakati wa Uteuzi 42

4.4Taratibu za Uteuzi wa Wagombea Ubunge 42

4.4.1 Mamlaka ya Uteuzi wa Wagombea Ubunge 43

4.4.2 Sifa na Masharti ya Uteuzi 43

4.4.3 Uchukuaji na Urejeshaji wa Fomu za Uteuzi na Fomu za Maadili 43

4.4.4 Wagombea Ubunge Walioteuliwa Majimboni 44

4.4.5Pingamizi Dhidi ya Wagombea 46

4.4.6 Rufaa Dhidi ya Maamuzi ya Pingamizi 47

4.5Taratibu za Uteuzi wa Wagombea Udiwani 47

4.5.1 Mamlaka ya Uteuzi 47

4.5.2 Sifa na Masharti ya Uteuzi 48

4.5.3Uchukuaji na Urejeshaji wa Fomu za Uteuzi na Fomu za Maadili 48

4.5.4Wagombea Udiwani Walioteuliwa 48

4.5.5 Pingamizi Dhidi ya Uteuzi 50

4.5.6 Rufaa kutokana na Uteuzi 51

4.6Kampeni za Uchaguzi 51

4.6.1 Taratibu za Kampeni 51

4.6.2 Kipindi cha Kampeni 51

4.6.3Masharti ya Kampeni 51

4.6.4 Uratibu wa Kampeni za Urais 51

4.6.5Vikao vya Kupokea na Kujadili Maombi ya Kurekebisha Ratiba 52

4.6.6Vyama vya Siasa na Wagombea Urais 52

4.6.7Uratibu wa Kampeni za Ubunge na Udiwani 53

4.6.8Usimamizi na Utekelezaji wa Maadili ya Uchaguzi na Kamati za Maadili Ngazi Zote 53

4.6.9 Hali Iliyokuwepo Wakati wa Uendeshaji Kampeni 54

4.7Changamoto Zilizojitokeza 54

SURA YA TANO 56

UPIGAJI KURA NA UHESABUJI WA KURA VITUONI 56

5.1Maandalizi ya Siku ya Uchaguzi 56

5.2Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 56

5.3Uchapishaji wa Karatasi za Kura 56

5.4Usafirishaji wa Vifaa vya Siku ya Uchaguzi kwenda Majimboni 56

5.5Uteuzi na Mafunzo kwa Watendaji 56

5.6Usalama wa Vituo vya Kupigia Kura 57

5.7Maandalizi ya Vituo vya Kupigia Kura 57

5.8Mawakala wa Upigaji Kura 57

5.9Mabadiliko ya Muundo wa Karatasi za Kura 58

5.10Upigaji Kura 58

5.10.1Matakwa ya Kisheria 58

5.10.2Siku ya Uchaguzi 58

5.10.3Vituo vya Kupigia na Kuhesabia Kura 58

5.10.4Tangazo la Uchaguzi 59

5.10.5Usambazaji wa vifaa vya Siku ya Uchaguzi kwenda Vituoni 59

5.10.6Kuahirisha Uchaguzi 59

5.10.7Maelekezo ya Tume Kuelekea Siku ya Uchaguzi 61

5.10.8Risala ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa Wapiga Kura. 61

5.10.9Zoezi la Upigaji Kura - Siku ya Uchaguzi 61

5.10.10 Hali ya Usalama Katika Vituo 62

5.10.11Mahudhurio ya Mawakala Vituoni 62

5.11Kuhesabu Kura 62

5.11.1Fomu za Matokeo na Ujazaji wake 62

5.11.2Utoaji wa Taarifa ya Matokeo Katika Vituo 63

5.12Changamoto Zilizojitokeza 63



SURA YA SITA 64

KUJUMLISHA KURA NA KUTANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI 64

6.1Utaratibu wa Kujumlisha Kura Katika Majimbo na Kata 64

6.2tangazaji wa Matokeo ya Uchaguzi 65

6.2.1Uchaguzi wa Rais 65

6.2.2 Uchaguzi wa Wabunge 68

6.2.3 Uchaguzi wa Madiwani 69

6.3Viti Maalum vya Wabunge na Madiwani Wanawake 71

6.3.1 Viti Maalum vya Wabunge Wanawake 71

6.3.2Madiwani Wanawake wa Viti Maalum 73

6.4Changamoto Zilizojitokeza 74



SURA YA SABA 76

USHIRIKI WA WADAU WA UCHAGUZI 76

7.1Wadau Walivyoshirikishwa Katika Uchaguzi Mkuu 76

7.1.1Serikali 76

7.1.2Vyama vya Siasa na Wagombea 77

7.1.3Asasi za Kiraia 77

7.1.4Vyombo vya Habari 77

7.1.5Taasisi na Mashirika ya Kidini 78

7.1.6Washirika wa Maendeleo 78

7.1.7Msajili wa Vyama vya Siasa 78

7.1.8Jeshi la Polisi 78

7.1.9Waangalizi wa Uchaguzi 78

7.1.10Makundi Maalum Katika Jamii 78

7.2Changamoto Zilizojitokeza 79

SURA YA NANE 80

WATAZAMAJI WA UCHAGUZI 80

8.1Walioomba kuwa Watazamaji wa Uchaguzi 80

8.2Maoni na Ushauri wa Watazamaji 82

8.3Changamoto Zilizojitokeza 83



SURA YA TISA 84

HITIMISHO NA MAPENDEKEZO 84

84



HITIMISHO 84

MAPENDEKEZO 86

VIAMBATISHO 89



  1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   33


Verilənlər bazası müəlliflik hüququ ilə müdafiə olunur ©atelim.com 2016
rəhbərliyinə müraciət