Ana səhifə

Jamhuri ya muungano wa tanzania wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi wakala wa vyuo vya mafunzo ya mifugo lita


Yüklə 194 Kb.
tarix24.06.2016
ölçüsü194 Kb.



Livestock Training Agency- Admission Office


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI

WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA


Veterinary Complex

131 Nelson Mandela Road

S. L. P 9152,

15487 DAR ES SALAAM


.





Telegram: “Mifugo”

Simu: 255 22 2863 479

Fax: 255 22 2861 908

E-mail:litahq@yahoo.com

Tovuti: http://www.mifugouvuvi.go.tz


In reply please quart:





TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUM YA STASHAHADA YA TEKNOLOJIA YA MAZIWA KATIKA WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LIVESTOCK TRAINING AGENCY) KUANZIA MWEZI MACHI HADI AGOSTI 2015


  1. Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) inatangaza nafasi za mafunzo ya Kozi Maalum ya Stashahada ya Teknolojia ya Maziwa itakayotolewa kwenye Kampasi ya Tengeru, Arusha kuanzia mwezi Februari hadi Jula 2015.




  1. Muda wa masomo

Miezi sita (Miezi mitatu Chuoni na Miezi mitatu viwandani)


  1. Idadi ya Nafasi

Kuna jumla ya nafasi za mafunzo 50.


  1. Sifa za mwombaji

  • Mwombaji awe amefaulu katika ngazi ya Stashahada katika fani zifuatazo: Uzalishaji wa Mifugo (DAP), Afya ya Mifugo (DAH) na Afya na Uzalishaji wa Mifugo (DAHP).

  • Mwombaji awe amefaulu katika ngazi ya Shahada ya ngazi yeyote katika fani zifuatazo: Sayansi ya Wanyama, Afya ya Mifugo, Teknolojia na Usindikaji wa vyakula




  1. Masharti ya Uombaji

  • Mwombaji awasilishe maombi kwa kujaza fomu akiambatanisha nakala (photocopies) za vyeti vyake vya elimu, pamoja na cheti cha kuzaliwa.

Fomu inapatikana kwenye Tuvuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz

  • Fomu iambatanishwe na Bank pay-in slip ya Tshs 20,000/=. LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142




  1. Gharama za Mafunzo

Gharama za mafunzo zimeonyeshwa kwenye fomu ya maombi ambayo inapatikana kwenye tovuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz


  1. Mwisho wa kupokea maombi

Mwisho wa kupokea fomu za maombi ya kujiunga na masomo ni tarehe 28.02.2015 na mafunzo yataanza tarehe 23/03/2015


  1. Taarifa kwa watakaochaguliwa

Majina ya watakaochaguliwa yatatangazwa kwenye magazeti na tovuti ya Wizara: www.mifugouvuvi.go.tz

LITA) KA


  1. Utaratibu wa kutuma fomu za maombi

Fomu za maombi zitumwe kwa:

KAIMU MTENDAJI MKUU,

Veterinary Complex

131 Nelson Mandela Road

S. L. P 9152,

15487 DAR ES SALAAM
APPLICATION FORM FOR ADMISSION – FOR PROFESSIONAL DEVELOPMENT DIPLOMA COURSE IN DAIRY TECHNOLOGY FEBRUARY 2015



  1. PROGRAMME OFFERED:

Professional Development Diploma in Dairy Technology (PDDT)

  1. QUALIFICATION


  • A candidate must have passed Diploma in the following fields: Animal Health (DAH), Animal Production (DAP) and Animal Health and Production (DAHP).

  • A candidate must have passed Science degree in the following fields: Animal Production, Veterinary Science, Human Nutrition or Food Technology and Processing

NB. Selected candidates shall be informed through Newspapers and Website: www,mifugouvuvi.go.tz



  1. FEE STRUCTURE


  • Tuition fee and boarding payable direct to the Agency - Tshs. 1,090,600

  • Direct Costs payable to a student - Tshs. 1,470,000



  1. FEE STRUCTURE


Activity

Costs

Direct Agency Costs




Accommodation

270,000

Tuition

320,600

Institutional overhead costs

250,000

Field Practical Supervision

250,000

Subtotal

1,090,600







Direct Student Costs




Traveling expenses to the Campus

60,000

In campus training Food expenses for 90 days

450,000

Student Travel to field practical stations

60,000

Field Practical Student Food and Accommodation for 90 days

900,000

Subtotal

1,470,000







Grand total

2,560,600








  1. OTHER INFORMATION





Indicate who pays your tuition (Please check one or more sources, if necessary):


Private/ own/Family/NGO


Name and address of Sponsor………………………………….......................………………………………………….

..........................................................................................


DECLARATION OF SPONSOR:

I ........................................hereby declare that I will sponsor the student and I agree to abide by the rules and regulations of Livestock Training Agency and program in which student shall be registered, and any changes which may be made during the course.


Signature; ........................................................... Date: ................................................




  1. PERSONAL INFORMATION


NAME (First)


Second

Last

PRESENT ADDRESS

POSTAL BOX

City/Town TELEPHONE

DATE OF BIRTH

Date Month Year



SEX

Male

Female


MARITAL STATUS

Single Married Other






NEXT OF KIN (NAME)




RELATIONSHIP

TELEPHONE

Citizenship Tanzanian * Others

*Specify…………………..




Do you have any kind of disability? Yes: No: If yes, specify: ……….............................…………………....

(Note: This Information is required for the Campus to arrange appropriate means of assisting you once admitted. It will in no way affect the decision to admit you)





  1. DEAD LINE FOR APPLICATION: 28TH FEBRUARY 2015 AND COURSE WORK WILL START ON 23/03/2015



  1. DECLARATION



  1. I hereby declare that I have completed this form accurately to the best of my knowledge.

  2. I agree to abide to the rules and regulations of Livestock Training Agency and program in which I shall be registered, and any changes which may be made while I am attending the course

…………......................... .......................



Signature of Applicant Date


FOR OFFICIAL USE ONLY

Receiving officer: ……………………………………. Signature and date: ………...………………



Decision by committee: ……………………………………….................………………………………………………

For further information contact:

Tel / +255 222 863 967 e-mail: litahq@yahoo.com or ngapongora@gmail.com

Payment: LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142



Verilənlər bazası müəlliflik hüququ ilə müdafiə olunur ©atelim.com 2016
rəhbərliyinə müraciət