Ana səhifə

Taarifa ya tume ya taifa ya uchaguzi kuhusu uchaguzi wa rais, wabunge na


Yüklə 4.81 Mb.
səhifə29/33
tarix26.06.2016
ölçüsü4.81 Mb.
1   ...   25   26   27   28   29   30   31   32   33

Kiambatanisho E: Risala ya Mwenyekiti Kuhusu Siku ya Upigaji Kura
RISALA YA MWENYEKITI KUHUSU UPIGAJI KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU

JUMAPILI, TAREHE 31 OKTOBA, 2010
Zoezi la Uchaguzi Mkuu linafikia kilele chake, siku ya Jumapili, tarehe 31 Oktoba, 2010.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatoa wito kwa Wananchi waliojiandikisha Kupiga Kura kote Nchini kujitokeza kwa wingi na kwenda kwenye vituo vilivyopangwa kwa ajili ya Kupiga Kura ili wapige Kura zao na hivyo kutekeleza haki yao ya Kikatiba ya kumchagua mtu wanayemtaka kuwa Kiongozi wao.
Aidha, Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuwakumbusha na kuwasisitizia Wapiga Kura wote mambo yafuatayo:


  1. (i) Kituo kitafunguliwa saa 1.00 Asubuhi hadi saa 10.00 jioni. Hata hivyo yeyote atakayekuwepo wakati wa kufunga kituo saa 10.00 ataruhusiwa Kupiga Kura.

    1. Mpiga Kura akumbuke kubeba Kadi yake ya kupigia Kura. Bila Kadi ya Kupiga Kura hataruhusiwa Kupiga Kura.

    2. Akifika kituoni atapokelewa na Karani Mwongozaji ambaye atamsadidia kutafuta jina lake na kumwelekeza Kituo cha Kupiga Kura iwapo eneo hilo lina zaidi ya Kituo kimoja.

    3. Atakapofika kwenye Kituo atawajibika kujipanga kwenye mstari. Hata hivyo wagonjwa, wanaoishi na ulemavu wa aina mbalimbali, wanawake wajawazito na wanaonyonyesha na wazee hawatatakiwa kujipanga kwenye mstari.

    4. Wakati wote wa Upigaji na Uhesabuji Kura, Mawakala wa Vyama vya Siasa wawepo kwenye Vituo. Wajibu wao ni kulinda maslahi ya Vyama vyao na Wagombea. Hata hivyo hawatakiwi kuingilia masuala ya utendaji ambayo yamekabidhiwa Msimamizi wa Kituo. Iwapo wataona hitilafu yoyote na kushindwa kupata maelekezo ya kutosha kutoka kwa Msimamizi wa Kituo wataomba fomu maalum iliyotolewa na Tume kueleza malalamiko yao.

    5. Kura zitahesabiwa katika kituo cha Kupigia Kura mara tu upigaji Kura utakapomalizika.

    6. Baada ya Kura kuhesabiwa, matokeo yatajazwa kwenye Fomu maalum ambazo zitatiwa saini na Msimamizi wa Kituo na Mawakala. Kila Wakala atapewa nakala ya Fomu ya Matokeo na nakala nyingine itawekwa mahali pa wazi nje ya Kituo.

    7. Msimamizi wa Kituo atapeleka fomu ya matokeo na vifaa vingine vilivyotumika kwenye zoezi la Upigaji Kura kwa Msimamizi wa Uchaguzi Mawakala wa Vyama wataruhusiwa kusindikiza msafara wa kupelekea matokeo hayo kwenda kwa Msimamizi wa Uchaguzi/Msimamizi Msaidizi.

    8. Matokeo yote yakishapokelewa na Msimamizi wa Uchaguzi, kwa upande wa Uchaguzi wa Rais na Wabunge au na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kwa upande wa Uchaguzi wa Udiwani hujumlishwa mbele ya Mawakala na wote wanaoruhusiwa kuingia kwenye Vituo vya kujumlishia Kura.

    9. Kama ilivyokuwa wakati wa kuhesabu Kura, baada ya ujumlishaji kukamilika, yatatiwa saini na Msimamizi wa Uchaguzi na Mawakala watakaokuwepo. Mawakala watapewa Nakala ya Matokeo na Nakala moja itawekwa mahali pa wazi nje ya Kituo cha ujumlishaji.

    10. Matokeo ya Uchaguzi wa Bunge yatatangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi wakati yale ya Uchaguzi wa Diwani yatatangazwa na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata. Matokeo ya Uchaguzi wa Rais yatatumwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo nayo itayahakiki na kuyatangaza kama inavyoyapokea. Baada ya kupokea matokeo yote Tume itakaa pamoja na Mawakala na kuyajumlisha na hatimaye kutangaza Mshindi.



  1. Tume inapenda kusisitiza mambo muhimu yafuatayo:

  1. Vyama vyote vya Siasa vinavyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu vinatakiwa kuhakikisha kwamba vinaweka Mawakala wake kwa Vituo vyote vya Kupigia Kura na kujumlisha Kura.

  2. Mawakala wa Vyama vya Siasa watatakiwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu zilizowekwa.

  3. Mara baada ya Kupiga Kura na kwa kuzingatia Maadili ya Uchaguzi Wapiga Kura wanatakiwa kuondoka vituoni na kurejea nyumbani. Kwa kuwa Vyama vya Siasa vitakuwa vimeweka Mawakala wake ambao watalinda maslahi ya Vyama husika na Wagombea wao.

  4. Mpiga Kura atapiga Kura kwenye Kituo chake alichojiandikisha au alichopangiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

  5. Watu waliotajwa kwenye Sheria ndiyo pekee wanaoruhusiwa kuingia kwenye Vituo vya Kupigia Kura au Vituo vya kuhesabia Kura.

  6. Wapiga Kura wanaoishi na Ulemavu wa kutoona lakini wana Elimu ya Braille watapewa fursa ya kutumia kifaa cha “Tractile Ballot Folder” wale ambao hawawezi kukitumia kifaa hicho wataruhusiwa kuja kituoni na watu wanayemchagua wenyewe. Mtu mmoja anaweza kumsaidia mpiga Kura mmoja tu labda kama wapo Wapiga Kura zaidi ya mmoja kutoka katika familia moja.

  7. Inakatazwa kuvaa Sare za Chama kwenye Vituo au kuendesha Kampeni yoyote siku ya Uchaguzi.

  8. Tume itahakikisha kuwa hakuna Mpiga Kura atakayepiga Kura zaidi ya mara moja.

  9. Tume inapenda kusahihisha taarifa potofu zinazotolewa na baadhi ya Wadau wa Uchaguzi kwamba, Mpiga Kura ambaye yuko mbali na Kituo alichojiandikisha anaweza Kupiga Kura ya Uchaguzi wa Rais. Hii siyo kweli kwani ili mtu aweze Kupiga Kura ni lazima awemo kwenye Daftari la Wapiga Kura la Kituo husika. Hii ni kwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi ambapo hata Tume haiwezi kutoa msimamo mwingine kinyume na Sheria.

  10. Wapiga Kura ambao watakuwa na Kadi zao za Kupigia Kura ila namba za Kadi hizo zikawa zinatofautiana na Namba yake katika Daftari wataruhusiwa Kupiga Kura.

  11. Aidha Wapiga Kura ambao taarifa zao zilizoko kwenye Daftari ni sawa na zile zilizopo kwenye Kadi zao ila tu kwamba picha zao hazipo kwenye Daftari nao vile vile wataruhusiwa Kupiga Kura.

  12. Upigaji Kura ni wa siri, hivyo kila mtu apige Kura yake kwa siri na mtu asishawishiwe na mtu yeyote kueleza nani amempigia Kura. KURA YAKO NI SIRI YAKO.

  13. Ni marufuku na ni kosa la Jinai kumkataza mtu kwenda Kupiga Kura.

  14. Tume ya Taifa pekee ndiyo yenye Mamlaka ya kutangaza Mshindi katika Uchaguzi wa Rais na kwa upande wa Uchaguzi wa Wabunge mwenye Mamlaka ya kutangaza Mshindi ni Msimamizi wa Uchaguzi. Kwa upande wa Uchaguzi wa Madiwani mwenye mamlaka ya kufanya hivyo ni Msimamizi Msaidizi wa Kata.

  15. Tume inapenda kuwahakikishai Wananchi kwamba kutakuwa na Ulinzi wa kutosha katika Vituo vya Kupigia Kura.

Kwa kumalizia, Tume inawasihi tena Wapiga Kura wote nchini kujitokeza kwa wingi Kupiga Kura ili kuwachagua Viongozi wao. KUMBUKA KUPIGA KURA NI HAKI YAKO YA MSINGI.

(Mst. Jaji Lewis M. Makame)

Mwenyekiti



TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI


Kiambatanisho F: Orodha ya Majimbo ya Uchaguzi Mkuu, 2010
TANZANIA BARA


NA. 

MKOA

HALMASHAURI YA

NA.

NA. YA JIMBO

JIMBO

1

ARUSHA

JIJI LA ARUSHA

1

20301

ARUSHA MJINI

WILAYA YA ARUSHA

2

20201

ARUMERU MAGHARIBI

WILAYA YA KARATU

3

20401

KARATU

WILAYA YA LONGIDO

4

20102

LONGIDO

WILAYA YA MERU

5

20601

ARUMERU MASHARIKI

WILAYA YA MONDULI

6

20101

MONDULI

WILAYA YA NGORONGORO

7

20501

NGORONGORO

2

DAR ES SALAAM

MANISPAA YA ILALA

8

70201

ILALA

9

70203

SEGEREA

10

70202

UKONGA

MANISPAA YA KINONDONI

11

70101

KAWE

12

70102

KINONDONI

 

13

70103

UBUNGO

MANISPAA YA TEMEKE

14

70301

KIGAMBONI

15

70302

TEMEKE

3

DODOMA

MANISPAA YA DODOMA

16

10501

DODOMA MJINI

WILAYA YA BAHI

17

10401

BAHI

WILAYA YA CHAMWINO

18

10402

CHILONWA

19

10403

MTERA

WILAYA YA KONDOA

20

10101

KONDOA KASKAZINI

21

10102

KONDOA KUSINI

WILAYA YA KONGWA

22

10301

KONGWA

WILAYA YA MPWAPWA

23

10202

KIBAKWE

24

10201

MPWAPWA

4

IRINGA

MANISPAA YA IRINGA

25

110601

IRINGA MJINI

MJI WA NJOMBE

26

110402

NJOMBE KUSINI

WILAYA YA IRINGA

27

110103

ISMANI

28

110101

KALENGA

WILAYA YA KILOLO

29

110102

KILOLO

WILAYA YA LUDEWA

30

110501

LUDEWA

WILAYA YA MAKETE

31

110301

MAKETE

WILAYA YA MUFINDI

32

110201

MUFINDI KASKAZINI

33

110202

MUFINDI KUSINI

WILAYA YA NJOMBE

34

110401

NJOMBE KASKAZINI

35

110403

NJOMBE MAGHARIBI

5

KAGERA

MANISPAA YA BUKOBA

36

180601

BUKOBA MJINI

WILAYA YA BIHARAMULO

37

180401

BIHARAMULO MAGHARIBI

WILAYA YA BUKOBA

38

180201

BUKOBA VIJIJINI

WILAYA YA CHATO

39

180402

CHATO

WILAYA YA KARAGWE

40

180101

KARAGWE

41

180102

KYERWA

WILAYA YA MISSENYI

42

180202

NKENGE

WILAYA YA MULEBA

43

180301

MULEBA KASKAZINI

44

180302

MULEBA KUSINI

WILAYA YA NGARA

45

180501

NGARA

6

KIGOMA

MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI

46

160401

KIGOMA MJINI

WILAYA YA KASULU

47

160203

KASULU MJINI

48

160201

KASULU VIJIJINI

49

160202

MANYOVU

WILAYA YA KIBONDO

50

160102

BUYUNGU

51

160101

MUHAMBWE

WILAYA YA KIGOMA

52

160301

KIGOMA KASKAZINI

WILAYA YA KIGOMA

53

160302

KIGOMA KUSINI

7

KILIMANJARO

MANISPAA YA MOSHI

54

30601

MOSHI MJINI

WILAYA YA HAI

55

30501

HAI

WILAYA YA MOSHI

56

30401

MOSHI VIJIJINI

57

30402

VUNJO

WILAYA YA MWANGA

58

30201

MWANGA

WILAYA YA ROMBO

59

30101

ROMBO

WILAYA YA SAME

60

30301

SAME MAGHARIBI

61

30302

SAME MASHARIKI

WILAYA YA SIHA

62

30502

SIHA

8

LINDI

MJI WA LINDI

63

80601

LINDI MJINI

WILAYA YA KILWA

64

80101

KILWA KASKAZINI

65

80102

KILWA KUSINI

WILAYA YA LINDI

66

80201

MCHINGA

67

80202

MTAMA

WILAYA YA LIWALE

68

80401

LIWALE

WILAYA YA NACHINGWEA

69

80301

NACHINGWEA

WILAYA YA RUANGWA

70

80501

RUANGWA

9

MANYARA

MJI WA BABATI

71

210101

BABATI MJINI

WILAYA YA BABATI

72

210102

BABATI VIJIJINI

WILAYA YA HANANG

73

210201

HANANG

WILAYA YA KITETO

74

210501

KITETO

WILAYA YA MBULU

75

210301

MBULU

WILAYA YA SIMANJIRO

76

210401

SIMANJIRO

10

MARA

MANISPAA YA MUSOMA

77

200501

MUSOMA MJINI

WILAYA YA BUNDA

78

200401

BUNDA

79

200402

MWIBARA

WILAYA YA MUSOMA

80

200301

MUSOMA VIJIJINI

WILAYA YA RORYA

81

200101

RORYA

WILAYA YA SERENGETI

82

200201

SERENGETI

WILAYA YA TARIME

83

200102

TARIME

11

MBEYA

JIJI LA MBEYA

84

120801

MBEYA MJINI

WILAYA YA CHUNYA

85

120101

LUPA

86

120102

SONGWE

WILAYA YA ILEJE

87

120501

ILEJE

WILAYA YA KYELA

88

120301

KYELA

WILAYA YA MBARALI

89

120701

MBARALI

WILAYA YA MBEYA

90

120201

MBEYA VIJIJINI

WILAYA YA MBOZI

91

120602

MBOZI MAGHARIBI

92

120601

MBOZI MASHARIKI

WILAYA YA RUNGWE

93

120401

RUNGWE MAGHARIBI

94

120402

RUNGWE MASHARIKI

12

MOROGORO

MANISPAA YA MOROGORO

95

50501

MOROGORO MJINI

WILAYA YA KILOMBERO

96

50301

KILOMBERO

WILAYA YA KILOSA

97

50103

GAIRO

98

50102

KILOSA

99

50101

MIKUMI

WILAYA YA MOROGORO

100

50401

MOROGORO KUSINI

101

50402

MOROGORO KUSINI MASHARIKI

WILAYA YA MVOMERO

102

50403

MVOMERO

WILAYA YA ULANGA

103

50202

ULANGA MAGHARIBI

104

50201

ULANGA MASHARIKI

13

MTWARA

MANISPAA YA MTWARA MIKINDANI

105

90501

MTWARA MJINI

WILAYA YA MASASI

106

90302

LULINDI

107

90301

MASASI

WILAYA YA MTWARA

108

90101

MTWARA VIJIJINI

WILAYA YA NANYUMBU

109

90303

NANYUMBU

WILAYA YA NEWALA

110

90201

NEWALA

WILAYA YA TANDAHIMBA

111

90401

TANDAHIMBA

14

MWANZA

JIJI LA MWANZA

112

190302

ILEMELA

113

190301

NYAMAGANA

WILAYA YA GEITA

114

190602

BUSANDA

115

190601

GEITA

116

190603

NYANG'HWALE

WILAYA YA KWIMBA

117

190402

KWIMBA

118

190401

SUMVE

WILAYA YA MAGU

119

190201

BUSEGA

120

190202

MAGU MJINI

WILAYA YA MISUNGWI

121

190701

MISUNGWI

WILAYA YA SENGEREMA

122

190501

BUCHOSA

123

190502

SENGEREMA

WILAYA YA UKEREWE

124

190101

UKEREWE

15

PWANI

MJI WA KIBAHA

125

60701

KIBAHA MJINI

WILAYA YA BAGAMOYO

126

60101

BAGAMOYO

127

60102

CHALINZE

WILAYA YA KIBAHA

128

60201

KIBAHA VIJIJINI

WILAYA YA KISARAWE

129

60301

KISARAWE

WILAYA YA MAFIA

130

60601

MAFIA

WILAYA YA MKURANGA

131

60401

MKURANGA

WILAYA YA RUFIJI

132

60502

KIBITI

133

60501

RUFIJI

16

RUKWA

MANISPAA YA SUMBAWANGA

134

150401

SUMBAWANGA MJINI

MJI WA MPANDA

135

150101

MPANDA MJINI

WILAYA YA MPANDA

136

150102

KATAVI

137

150103

MPANDA VIJIJINI

WILAYA YA NKASI

138

150302

NKASI KASKAZINI

139

150301

NKASI KUSINI

WILAYA YA SUMBAWANGA

140

150202

KALAMBO

141

150201

KWELA

17

RUVUMA

MANISPAA YA SONGEA

142

100401

SONGEA MJINI

WILAYA YA MBINGA

143

100302

MBINGA MAGHARIBI

144

100301

MBINGA MASHARIKI

WILAYA YA NAMTUMBO

145

100202

NAMTUMBO

WILAYA YA SONGEA

146

100201

PERAMIHO

WILAYA YA TUNDURU

147

100101

TUNDURU KASKAZINI

148

100102

TUNDURU KUSINI

18

SHINYANGA

MANISPAA YA SHINYANGA

149

170701

SHINYANGA MJINI

WILAYA YA BARIADI

150

170101

BARIADI MAGHARIBI

151

170102

BARIADI MASHARIKI

WILAYA YA BUKOMBE

152

170502

BUKOMBE

153

170501

MBOGWE

WILAYA YA KAHAMA

154

170401

KAHAMA

155

170402

MSALALA

WILAYA YA KISHAPU

156

170302

KISHAPU

WILAYA YA MASWA

157

170202

MASWA MAGHARIBI

158

170201

MASWA MASHARIKI

WILAYA YA MEATU

159

170601

KISESA

160

170602

MEATU

WILAYA YA SHINYANGA

161

170301

SOLWA

19

SINGIDA

MANISPAA YA SINGIDA

162

130401

SINGIDA MJINI

WILAYA YA IRAMBA

163

130101

IRAMBA MAGHARIBI

164

130102

IRAMBA MASHARIKI

WILAYA YA MANYONI

165

130302

MANYONI MAGHARIBI

166

130301

MANYONI MASHARIKI

WILAYA YA SINGIDA

167

130201

SINGIDA KASKAZINI

168

130203

SINGIDA MAGHARIBI

169

130202

SINGIDA MASHARIKI

20

TABORA

MANISPAA YA TABORA

170

140601

TABORA MJINI

WILAYA YA IGUNGA

171

140201

IGUNGA

WILAYA YA NZEGA

172

140101

BUKENE

173

140102

NZEGA

WILAYA YA SIKONGE

174

140501

SIKONGE

WILAYA YA TABORA

175

140302

IGALULA

176

140301

TABORA KASKAZINI

WILAYA YA URAMBO

177

140401

URAMBO MAGHARIBI

178

140402

URAMBO MASHARIKI

21

TANGA

JIJI LA TANGA

179

40401

TANGA MJINI

MJI WA KOROGWE

180

40202

KOROGWE MJINI

WILAYA YA HANDENI

181

40601

HANDENI

WILAYA YA KILINDI

182

40602

KILINDI

WILAYA YA KOROGWE

183

40201

KOROGWE VIJIJINI

WILAYA YA LUSHOTO

184

40102

BUMBULI

185

40101

LUSHOTO

186

40103

MLALO

WILAYA YA MKINGA

187

40302

MKINGA

WILAYA YA MUHEZA

188

40301

MUHEZA

WILAYA YA PANGANI

189

40501

PANGANI

1   ...   25   26   27   28   29   30   31   32   33


Verilənlər bazası müəlliflik hüququ ilə müdafiə olunur ©atelim.com 2016
rəhbərliyinə müraciət